BIBLEPAGE.NET

Someni Neno la Mungu juu ya Internet

Aya ya Siku

Inueni macho yenu mbinguni, mkaitazame nchi chini; maana mbingu zitatoweka kama moshi, na nchi itachakaa kama vazi, nao wakaao ndani yake watakufa kadhalika; bali wokovu wangu utakuwa wa milele, na haki yangu haitatanguka

Isaya 51:6
Zaburi 119:33-34