BIBLEPAGE.NET

Someni Neno la Mungu juu ya Internet

Aya ya Siku

Kisha Daudi akamwambia Sulemani mwanawe, Uwe hodari, mwenye moyo mkuu, ukatende hivyo; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu, Mungu wangu, yu pamoja nawe; yeye hatakupungukia wala kukuacha, hata itakapomalizika kazi yote ya huo utumishi wa nyumba ya Bwana

1 mambo ya nyakati 28:20

2 Timotheo 1:7